African Music Kanjii Mbugua – Kama Si We

Kanjii Mbugua – Kama Si We

Kanjii Mbugua – Kama Si We

Audio Music Download Kanjii Mbugua – Kama Si We MP3 by Kanjii Mbugua Ft. Pambio Worship

Check-Out this amazing brand new single + the Lyrics of the song and the official music-video titled Kama Si We by a Renowned and anointed Christian / Gospel singer and recording music artist whose mission is to be a blessing many people through kingdom music.

  • Song Title: Mp3 Kama Si We FREE DOWNLOAD Kama Si We by Kanjii Mbugua Ft.
  • Genre: Gospel
  • Released: 2024
  • Duration: 04:11

Stream and Download this amazing mp3 audio single for free and don't forget to share with your friends and family for them to be a blessed through this powerful & melodius gospel music, and also don't forget to drop your comment using the comment box below, we look forward to hearing from you. Thanks!! . #GospelJingle

DOWNLOAD HERE

Kanjii Mbugua Kama Si We Lyrics
Baraka zishuke kama chomba
Zikuangukie
Neema yake izidi kukuongoza
Usiji aibike
Dunia ikiku chokoza
Kumbuka yesu anaona
Uki feel unaogopa
Wacha akupiganie

Chorus

Na Kama siwe baba
Ningekuwa wapi leo
Kama siwe baba
Nisegekuwa hapa leo
Naona ni we baba aaa
Najua ni we baba aaa

Majaribu ni kwa muda
Mwishowe uta shinda
Hata unapo lemewa
Kumbuka ulikotoka
Bwana hatakuangusha
Yeye ni mwamba imara
Ukijipata kwenye noma
Ye atakupkoa

Wema wake mungu baba
Uzidi kuku fuata
Uemdapo urudipo
We utabarikiwa
Wale walio kucheka
Wote wata shuhudia
Utaimba hallelujah
Pale chini ya mwamba

English Translation

Verse 1

Baraka zishuke kama chomba (Blessings descend like a long African dress that sweeps the floor)
Zikuangukie (May they fall upon you)
Neema yake izidi kukuongoza (May His grace continue to guide you)
Usiji aibike (Do not be ashamed)
Dunia ikiku chokoza (When the world provokes you)
Kumbuka yesu anaona (Remember Jesus sees)
Uki feel unaogopa (When you feel afraid)
Wacha akupiganie (Let Him fight for you)

Chorus

Kama siwe baba (if it wasn't for the Father)
Ningekuwa wapi leo (Where would I be today)
Kama siwe baba (If not for the Father)
Nisegekuwa hapa leo (I wouldn't be here today)
Naona ni we baba (I see it's You, Father)
Najua ni we baba (I know it's You, Father )

Verse 2

Majaribu ni kwa muda (Trials are for a moment)
Mwishowe uta shinda (In the end, you will win)
Hata unapo lemewa (Even when you are overwhelmed)
Kumbuka ulikotoka (Remember where you came from)
Bwana hatakuangusha (The Lord will not let you down)
Yeye ni mwamba imara (He is the solid rock)
Ukijipata kwenye noma (When you find yourself in trouble)
Ye atakupkoa (He will rescue you)

Bridge

Wema wake mungu baba (The goodness of God the Father)
Uzidi kuku fuata (May it continue to follow you)
Uendapo urudipo (Wherever you go or come)
We utabarikiwa (You will be blessed)
Wale walio kucheka (Those who laughed at you)
Wote wata shuhudia (All will witness)
Utaimba hallelujah (You will sing hallelujah)
Pale chini ya mwamba (There at the foot of the rock)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here