African Music Mercy Masika – Mkono Wa Bwana

Mercy Masika – Mkono Wa Bwana

Mercy Masika – Mkono Wa Bwana

Audio Music Download Mercy Masika – Mkono Wa Bwana MP3 by Mercy Masika

Check-Out this amazing brand new single + the Lyrics of the song and the official music-video titled Mkono Wa Bwana by a Renowned and anointed Christian / Gospel singer and recording music artist whose mission is to be a blessing many people through kingdom music.

  • Song Title: Mp3 Mkono Wa Bwana FREE DOWNLOAD Mkono Wa Bwana by Mercy Masika
  • Genre: Gospel
  • Released: 2016
  • Duration: 03:34

Stream and Download this amazing mp3 audio single for free and don't forget to share with your friends and family for them to be a blessed through this powerful & melodius gospel music, and also don't forget to drop your comment using the comment box below, we look forward to hearing from you. Thanks!! . #GospelJingle

DOWNLOAD HERE

Mercy Masika Mkono Wa Bwana Lyrics
Uuuuuuuuh
La la la la la la la la
Umeomba sana aah
Umehangaika sana aah
Umengoja sana ila majibu huoni

Nyuma mbele kwa marafiki hutoshi eey

Usife moyo mungu hayuko busy
Ana mpango mwema juu yako
Usife moyo mungu hayuko busy
Ana mpango mwema juu yako

Hakika mkono wa bwana si mfupi
Wala sikio lake si zito kusikia
Mkono wa bwana si mfupi
Wala sikio lake si zito kusikia

Ahadi zake ni kweli
Njia zake sio kama binadamu
Akili zake ziko juu
Atusikia sisi wanadamu

Tulia.aah
Tulia na baba
Tusife moyo mungu hayuko busy
Ana mpango mwema juu yetu
Tusife moyo mungu hayuko busy
Ana mpango mwema juu yetu

Hakika mkono wa bwana si mfupi
Wala sikio lake si zito kusikia
Mkono wa bwana si mfupi
Wala sikio lake si zito kusikia

Si zito si zito
Ooh

Hallelluyah ni mwaminifu

Hakika mkono wa bwana si mfupi
Wala sikio lake si zito kusikia

Mkono wa bwana si mfupi halleluhya
Wala sikio lake si zito kusikia

Mkono wa bwana si mfupi
Wala sikio lake si zito kusikia
Mkono wa bwana si mfupi
Wala sikio lake si zito kusikia
Atatenda muujiza kwa ajili yako

Mkono wa bwana si mfupi
Wala sikio lake si zito kusikia
Mkono wa bwana si mfupi
Wala sikio lake si zito kusikia

Oooh
Yerah
Mkono wa bwana si mfupi

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here