African Music Mercy Masika – Shule Yako

Mercy Masika – Shule Yako

Auto Draft

Audio Music Download Mercy Masika – Shule Yako MP3 by Mercy Masika

Check-Out this amazing brand new single + the Lyrics of the song and the official music-video titled Shule Yako by a Renowned and anointed Christian / Gospel singer and recording music artist whose mission is to be a blessing many people through kingdom music.

  • Song Title: Mp3 Shule Yako FREE DOWNLOAD Shule Yako by Mercy Masika
  • Genre: Gospel
  • Released: 2017
  • Duration: 03:24

Stream and Download this amazing mp3 audio single for free and don't forget to share with your friends and family for them to be a blessed through this powerful & melodius gospel music, and also don't forget to drop your comment using the comment box below, we look forward to hearing from you. Thanks!! . #GospelJingle

DOWNLOAD HERE

Mercy Masika Shule Yako Lyrics
Refrain:
Baba nichukue, nifunze (Father take me and teach me)
Nataka kusoma, Kwa shule Yako (I want to study in your school)
Kwa shule Yako (Your school)
(Repeat)

Nikiwa nawe kama mwalimu (Having you as my Teacher)
Ninajua nitahitimu (I know I will qualify)
Nitashinda adui akileta majaribu (I will defeat the enemy's temptation)
Unitayarishe, unibadilishe (Prepare me, change me)
Mtihani nipite, mwito nitimize (To pass my trials, and fulfill my calling)
Nijue kuandika (To know how to write)
Niandike maono yangu (That I may write my visions )
Nijue kuhesabu (To know how to count)
Nihesabu baraka zako (That may count Your blessings )
Nijue kuongea (To know how to speak)
Nihubiri neno lako (That I could preach your Word)
Kwa watu wako (To Your People)

(Refrain)

Shule Yako hatundanganywi (There is no lying in your School)
Ni ukweli na uwazi (Only truth and transparency)
Wanafunzi hawagomi (Students do not need to strike)
Mwalimu atujali (For the Teacher cares for us)
Unifunze nidhamu, Wote niwaheshimu (Teach me discipline, for all to respect me)
Yesu ni Mwalimu, Yesu ni Mwalimu' (Jesus is the Teacher, Jesus is the Teacher)
Nijue kuandika (To know how to write)
Niandike maono yangu (That I may write my visions )
Nijue kuhesabu (To know how to count)
Nihesabu baraka zako (That may count Your blessings )
Nijue kuongea (To know how to speak)
Nihubiri neno lako (That I could preach your Word)
Kwa watu Wako (To Your People)

(Refrain)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here