Yesu Yuko Hapa MP3 by Christopher Mwahangila

Now Out, Renowned Christian artist Christopher Mwahangila drops a new mp3 single + it’s official music video titled “Yesu Yuko Hapa”

Stream and Download this amazing mp3 audio single for free and don’t forget to share with your friends and family for them to be a blessed through this powerful & melodius gospel music, and also don’t forget to drop your comment using the comment box below, we look forward to hearing from you. Thanks!! . #GospelJingle

DOWNLOAD HERE

Christopher Mwahangila Yesu Yuko Hapa Lyrics
Yesu
Yupo hapa
Yesu
Yupo hapa
Yesu
Yupo hapa, yupo hapa, yupo hapa,yupo hapa
Oh na muona yesu
Yupo hapa
Oh na muona baba
Yupo hapa
Oh na muona Yesu
Yupo hapa
Oh namuona Yesu
Yupo hapa, yupo hapa, yupo hapa
Oh namuona Yesu
Yupo hapa
Oh namuona Mungu
Yupo hapa
Oh namuona Mungu

Yupo hapa, yupo hapa, yupo hapa, yupo hapa
Oh na ziona nguvu zake
Yupo hapa
Oh na uona mkono wake
Yupo hapa
Ohh nauona muujiza wake
Yupo hapa, yupo hapa, yupo hapa, yupo hapa
Oh nasikia nguvu zake Mungu
Oh nasikia uwepo wake hapa
Ohh namuona Yesu yupo hapa
Ohh namuona Yesu yupo hapa
Oh nasikia manukato ya Mungu
Oh nasikia nguvu zake baba
Oh na muona Yesu yupo hapa
Oh namuona Yesu yupo hapa
Fungua moyo wako akuhudumie
Fungua moyo wako akuguse
Huu ndiyo wakati wako, oh maana leo yesu yupo hapa

Fungua moyo wako akuhudumie
Fungua moyo wako akuguse
Huu ndiyo wakati wako, oh maana leo yesu yupo hapa

Oh na muona Yesu
Yupo hapa
Oh na muona baba
Yupo hapa
Oh na muona Yesu
Yupo hapa
Oh namuona Yesu
Yupo hapa, yupo hapa, yupo hapa
Ohh namuona Yesu
Yupo hapa
Ohh namuona Mungu
Yupo hapa
Ohh namuona Mungu
Yupo hapa, yupo hapa, yupo hapa, yupo hapa
Oh na ziona nguvu zake
Yupo hapa
Oh na uona mkono wake
Yupo hapa
Ohh nauona muujiza wake
Yupo hapa, yupo hapa, yupo hapa, yupo hapa
Wewe unaye pata taabu wewe
Wewe unaye sumbuka sana wewe
Leta hizo shida zako, maana leo Yesu yupo hapa
Wewe unayekwenda kwa waganga wewe
Unaye angaika kutafuta miujiza wewe
Yesu mutenda miujiza yupo, ni napo imba sasa yupo hapa
Mutafute sana Yesu, kuliko kutafuta miujiza
Maana Yesu ndiye mutenda miujiza Penda sana, kumtafuta Yesu

Mutafute sana Yesu, kuliko kutafuta miujiza
Yesu ndiye mutenda miujiza

Usiangaike kwa wanadamu wewe
Yesu
Yupo hapa
Yesu
Yupo hapa
Yesu
Yupo hapa, yupo hapa, yupo hapa, yupo hapa
Oh na muona Yesu
Yupo hapa
Oh na muona baba
Yupo hapa
Oh na muona yesu
Yupo hapa
Oh namuona Yesu
Yupo hapa, yupo hapa, yupo hapa
Ohh namuona Yesu
Yupo hapa
Ohh namuona Mungu
Yupo hapa
Ohh namuona Mungu
Yupo hapa, yupo hapa, yupo hapa, yupo hapa

Oh na ziona nguvu zake
Yupo hapa
Oh na uona mkono wake
Yupo hapa
Oh nauona muujiza wake
Yupo hapa, yupo hapa, yupo hapa

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here