Boaz Danken – Nani Kama Wewe Bwana ft. Ruth Lyanga- NANI KAMA WEWE BWANA #GodisReal

Audio Music Download Boaz Danken – Nani Kama Wewe Bwana MP3 by Boaz Danken ft. Ruth Lyanga

Check-Out this amazing brand new single + the Lyrics of the song and the official music-video titled Nani Kama Wewe Bwana by a Renowned and anointed Christian / Gospel singer and recording music artist Boaz Danken whose mission is to be a blessing many people through kingdom music.

  • Song Title: Mp3 Boaz Danken Nani Kama Wewe Bwana feat. Ruth Lyanga FREE DOWNLOAD Nani Kama Wewe Bwana by Boaz Danken
  • Genre: Gospel
  • Released: 2020
  • Duration: 07:51

Stream and Download this amazing mp3 audio single for free and don’t forget to share with your friends and family for them to be a blessed through this powerful & melodius gospel music, and also don’t forget to drop your comment using the comment box below, we look forward to hearing from you. Thanks!! . #GospelJingle

DOWNLOAD HERE

Ft. Ruth Lyanga, Boaz Danken Nani Kama Wewe Bwana Lyrics
Nani kama wewe Bwana
Nani kama wewe
Asante roho wa Bwana

Tuulize milima inatetemeka kwa nani?
Kama sio wewe Mungu wetu
Tuulize bahari inamheshimu nani?
Kama sio wewe Mungu wetu

Wanyama wa kutisha wanamuabudu nani
Kama sio wewe Mungu wetu
Hivi ni nani kama wewe Bwana, kama wewe Bwana
Nani kama wewe Bwana Mungu wetu

Nani kama wewe Bwana, kama wewe Bwana
Nani kama wewe Bwana Mungu wetu
Nani kama wewe Bwana, kama wewe Bwana
Nani kama wewe Bwana Mungu wetu

Bahari ya shamu aliipasua nani?
Kama sio wewe Mungu wetu
Kuta za Jericho aliziangusha nani?
Kama sio wewe Mungu wetu

Agusaye mioyo yetu, kwa mguso wa ajabu
Kama sio wewe Mungu wetu
Sasa ni nani kama wewe, kama wewe Bwana
Nani kama wewe Bwana

Nani kama wewe Bwana, kama wewe Bwana
Nani kama wewe Bwana Mungu wetu
Nani kama wewe Bwana, kama wewe Bwana
Nani kama wewe Bwana Mungu wetu

Nani kama wewe Bwana, kama wewe Bwana
Nani kama wewe Bwana Mungu wetu
Nani kama wewe Bwana, kama wewe Bwana
Nani kama wewe Bwana Mungu wetu

Hakuna kama wewe Bwana, kama wewe Bwana
Hakuna kama wewe Bwana, Mungu wetu
Wewe ni Baba, uabudiwe
Hakuna kama wewe, wewe, wewe Baba

Hakuna kama wewe Bwana, kama wewe Bwana
Hakuna kama wewe Bwana, Mungu wetu
Hakuna kama wewe Bwana, kama wewe Bwana
Hakuna kama wewe Bwana, Mungu wetu

Hakuna kama wewe Bwana, kama wewe Bwana
Hakuna kama wewe Bwana, Mungu wetu
Hakuna kama wewe Bwana, kama wewe Bwana
Hakuna kama wewe Bwana, Mungu wetu

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here