• Artist: Rose Muhando
  • Song Title: Kama Mbaya Mbaya
  • Genre: Gospel
  • Released: 2023

Check-Out this amazing brand new single + the Lyrics of the song and the official music-video titled Kama Mbaya Mbaya by a Renowned and anointed gospel singer & recording artist Rose Muhando

Stream and Download this amazing mp3 audio single for free and don’t forget to share with your friends and family for them to also enjoy this dynamic & melodius music, and also don’t forget to drop your comment using the comment box below, we look forward to hearing from you. Thanks!! . #gospeljingle

DOWNLOAD HERE

Rose Muhando Kama Mbaya Mbaya Lyrics
Kama mbaya mbaya
Wacha iwe mbaya
Tuliwatendea mema/wema
Wakatulipa mabaya (Repeat)

Kama mbaya mbaya
Wacha iwe mbaya
Tuliwaona wabora
Kumbe hawafai (Repeat)

Walitunywesha kikombe cha uchungu
Na maumivu makali
Wakachukua/wakatwaa nafsi zetu
Wakazigonga misumari (Repeat)

Sasa wameyakanyaga
Wacha Mungu ashughulike nao
Wamevavanya
Wacha mbingu zishughulike nao (Repeat)

Kama mbaya mbaya
Wacha iwe mbaya
Tulitenda mema
Wakatulipa mabaya

Sasa wameyakanyaga
Wacha Mungu ahangaike nao
Wamevavanya
Wacha mbingu zishughulike! (Repeat)

Mene mene… tekeli perez
Kiganja kimeandika, fukuza upesi
Mkono umeandika, fukuza upesi
Kwenye mawe kimeandika, fukuza upesi
Ukutani kimeandika, watoke upesi
Ofisini kimeandika, rarua upesi
Kwa wafalme kimeandika, komesha kabisa
Kwa wakuu kimeandika, rarua upesi
Kwa wenye nguvu kimeandika, komesha kabisa

Mene tekeli perezi, fukuza upesi
Porini waweka mafisi, wakale manyasi
Mene tekeli perezi, fukuza upesi
Porini waweka mafisi, wakale manyasi

Wapigwe! Wapigwe! Waweka mafisi
Wapigwe! Wapigwe! Wakose nafasi
(Repeat)

Kanyaga kanyaga kanyaga kanyaga, kanyaga!?

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here