Rose Muhando – Simba

Audio Music Download Rose Muhando – Simba MP3 by Rose Muhando

Check-Out this amazing brand new single + the Lyrics of the song and the official music-video titled Simba by a Renowned and anointed Christian / Gospel singer and recording music artist Rose Muhando whose mission is to be a blessing many people through kingdom music.

  • Song Title: Mp3 Rose Muhando Simba FREE DOWNLOAD
  • Genre: Gospel
  • Released: 2021
  • Duration: 05:04

Stream and Download this amazing mp3 audio single for free and don’t forget to share with your friends and family for them to be a blessed through this powerful & melodius gospel music, and also don’t forget to drop your comment using the comment box below, we look forward to hearing from you. Thanks!! . #GospelJingle

DOWNLOAD HERE

Rose Muhando Simba Lyrics
Simba lololo, simba anaguruma
Simba lelele, simba anaguruma
Simba wa kike anaguruma leo, simba anaguruma
Simba nyikani anaguruma wowo, simba anaguruma
Simba porini anaguruma leo, simba anaguruma

Mwambieni yule Mbweha, nimerudi Kutoka njangwani
Nimesimama tena kwenye zamu yangu
Wapeni habari wale umbwa
Hii if bahati mbaya, Mbingu zimeniamini
Mungu amenidhibitisha

Mpe salamu Yezebeli
Nimerudi Kutoka njangwani
Nimesimama tena kwenye zamu yangu
Wapeni habari wale umbwa
Hii if bahati mbaya, Mbingu zimeniamini
Mungu amenidhibitisha

Simba lololo, simba anaguruma
Simba lelele, simba anaguruma
Simba anaguruma, simba anaguruma
Simba anaguruma, simba anaguruma

Mimi simba wa kike
Kuwinda ndio asili yangu
Nitawinda popote, nitaguruma popote
Mbele ya mnyama wowote, kwenye pori lolote
Katika nyakati zote, sitaogopa chochote
Sitanyamaza hadi Mungu atakaponitwalia utukufu

Jeuri yangu nhari yuangdumdumdumu jeuri
jangu jangu nhari ydumdumdumu Jeuri jangu jangu nhari yumdumdumujana jangu nhari jangujumdumdumu Jeuri yangu
jangu nhari yuchadum
Kumcha bwana ndio jeuri yangu

Simba lelele (Mawindoni niko mawindoni)
Simba anaguruma leo (Mawindoni niko mawindoni)
Simba wa kike anaoguruma leo, simba wowowo
(Mawindoni niko mawindoni)

Kumcha Bwana ndio jeuri yangu, Simba
Kumjua Mungu ndio jeuri yangu, Simba yeyee
Malengo yangu mimi nor Mungu wangu, Simba yeyee
Fahari yangu mimi nor Mungu wangu, Simba yeyee
Simba Lelele (Mawindoni niko mawindoni)

Simba wa kike hodari Katikati is mawindo
Nitatenda kwa akili , kuyafumbua mafumbo
Nitanguruma alfajiri, jioni nilete mawindo
Sitanyamaza mpaka Mungu anipatie utukufu
Simba lelele (Mawindoni niko mawindoni)

I’m a champion (Yeah yeah)
Champion (Yeah yeah)
Super champion (Oh Yeah yeah)
Mimi champion, I’m a champion

I’m a champion (Yeah yeah)

Champion (Yeah yeah)
Super champion (Oh Yeah yeah)
Mimi champion, I’m a winner

I’m a champion (Yeah yeah)
Champion (Yeah yeah)
Super champion (Oh Yeah yeah)
Mimi champion, I’m a winner

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here