Tutatembea by The Saints Ministers

Tutatembea MUSIC by The Saints Ministers: Check-Out this amazing brand new single + the Lyrics of the song and the official music-video titled Tutatembea mp3 by a renowned & anointed Christian music group The Saints Ministers

Stream and Download this amazing mp3 audio single for free and don’t forget to share with your friends and family for them to be a blessed through this powerful & melodius gospel music, and also don’t forget to drop your comment using the comment box below, we look forward to hearing from you. Thanks!! . #GospelJingle

DOWNLOAD HERE

The Saints Ministers Tutatembea Lyrics
[Chorus]
Tutatembea, tembea kwa furaha,furaha tukiwa na Mwokozi,
Kwenye Milango milango ya dhahabu dhahabu tukiwa na furaha.

[Verse 1]
Hakutakuwepo na mambo yote maovu kwenye makaoni juu,
Shida taabu na dhiki zinazotusumbua hazitakuwepo juu.

[Verse 2]
Wale ambao watakuwa naye mwokozi watakuwa washindi,
Walioshinda dhambi zinazotukabidhi tukiwa duniani.

[Verse 3]
Wakati huu wa hofu ambapo kuna mambo mabaya ya kutisha,
Ndio wakati ambapo sote twatakiwa tukeshe kwa Maombi.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here